1 Kings 7:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kulikuwa na safu tatu za madirisha yaliyoelekeana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Madirisha yake yaliwekwa juu kwa safu tatu, yakielekeana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na madirisha yalikuwako safu tatu, mwangaza kuelekea mwangaza katika madaraja matatu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kulikuwa na safu tatu za madirisha yaliyoelekeana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Madirisha yake yaliwekwa juu kwa safu tatu, yakielekeana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Madirisha yake yaliwekwa juu kwa safu tatu, yakielekeana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na madirisha yalikuwako safu tatu, mwangaza kuelekea mwangaza katika madaraja matatu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kulikuwa na safu tatu za madirisha yaliyoelekeana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nayo miamba ilikuwako safu tatu, hata madirisha yaliyoelekeana dirisha kwa dirisha, hivyo mara tatu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na madirisha yalikuwako safu tatu, mwangaza kuelekea mwangaza katika madaraja matatu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kulikuwa mistari mitatu ya madirisha yaliyoelekeana.