1 Kings 7:40 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hiramu alitengeneza pia vyungu, sepetu na mabirika. Basi, Hiramu akamaliza kazi aliyoamriwa na mfalme Solomoni kuhusu nyumba ya Mwenyezi-Mungu:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pia akatengeneza masinia, masepetu na mabakuli ya kunyunyizia. Kwa hiyo Huramu akakamilisha kazi zote katika Hekalu la Mwenyezi Mungu kama vile Mfalme Sulemani alikuwa amemwagiza:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena Huramu akazifanya birika, na majembe, na mabakuli. Hivyo Huramu akazimaliza kazi zote alizomfanyia mfalme Sulemani katika nyumba ya Bwana;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hiramu alitengeneza pia vyungu, sepetu na mabirika. Basi, Hiramu akamaliza kazi aliyoamriwa na mfalme Solomoni kuhusu nyumba ya Mwenyezi-Mungu:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pia akatengeneza masinia, masepetu na mabakuli ya kunyunyizia. Hivyo hatimaye Hiramu akakamilisha kazi zote za Hekalu la BWANA sawasawa na Mfalme Solomoni alivyomwagiza, yaani:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pia akatengeneza masinia, masepetu na mabakuli ya kunyunyizia. Kwa hiyo Huramu akakamilisha kazi zote katika Hekalu la bwana kama vile Mfalme Sulemani alikuwa amemwagiza, yaani:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena Huramu akazifanya birika, na majembe, na mabakuli. Hivyo Huramu akazimaliza kazi zote alizomfanyia mfalme Sulemani katika nyumba ya BWANA;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hiramu alitengeneza pia vyungu, sepetu na mabirika. Basi, Hiramu akamaliza kazi aliyoamriwa na mfalme Solomoni kuhusu nyumba ya Mwenyezi-Mungu:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Hiramu akatengeneza mitungi na majembe na vyano. Hiramu akazimaliza kazi zote, alizomfanyizia mfalme Salomo nyumbani mwa Bwana:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena Huramu akazifanya birika, na majembe, na mabakuli. Hivyo Huramu akazimaliza kazi zote alizomfanyia mfalme Sulemani katika nyumba ya BWANA;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hiramu alitengeneza vilevile vyungu, kanya na mabakuli. Basi, Hiramu akamaliza kazi aliyoamuriwa na mufalme Solomono juu ya nyumba ya Yawe: nguzo mbili, mabakuli mawili ya taji zilizowekwa juu ya nguzo, nyavu mbili kwa ajili ya kufunika hizo taji mbili, mifano ya makomamanga mia ine kwa ajili ya nyavu hizo mbili, mistari miwili ya makomamanga kwa kila wavu kwa kupamba zile taji mbili zilizokuwa juu ya nguzo, magari kumi, vikingio kumi katika magari hayo, birika lile moja, sanamu za ngombe dume kumi na wawili, chini ya hilo birika, la vyungu vya kuwekea majivu, majembe, na mabeseni. Vitu hivi vyote vilivyokuwa katika nyumba ya Yawe ambavyo Hiramu alimutengenezea mufalme Solomono, vilikuwa vya shaba iliyoangarishwa.