1 Kings 7:41 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nguzo mbili, mabakuli mawili ya taji zilizowekwa juu ya nguzo, na nyavu mbili kwa ajili ya kufunika hizo taji mbili,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
nguzo mbili; mataji mawili yenye umbo la bakuli juu ya hizo nguzo; nyavu mbili za kupamba hayo mataji mawili yenye umbo la bakuli juu ya hizo nguzo;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
zile nguzo mbili, na vimbe mbili za taji zilikuwa juu ya nguzo; na nyavu mbili za kuzifunika hizo vimbe mbili za taji zilizokuwa juu ya nguzo;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
nguzo mbili, mabakuli mawili ya taji zilizowekwa juu ya nguzo, na nyavu mbili kwa ajili ya kufunika hizo taji mbili,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
nguzo mbili; mataji mawili yenye umbo la bakuli juu ya hizo nguzo; nyavu mbili za kupamba hayo mataji mawili yenye umbo la bakuli juu ya hizo nguzo;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
nguzo mbili; mataji mawili yenye umbo la bakuli juu ya hizo nguzo; nyavu mbili za kupamba hayo mataji mawili yenye umbo la bakuli juu ya hizo nguzo;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
zile nguzo mbili, na mabakuli mawili ya mataji yalikuwa juu ya nguzo; na nyavu mbili za kuvifunika hivyo viumbe viwili vya mataji yaliyokuwa juu ya nguzo;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nguzo mbili, mabakuli mawili ya taji zilizowekwa juu ya nguzo, na nyavu mbili kwa ajili ya kufunika hizo taji mbili,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
nguzo mbili zenye vilemba vya vile vichwa viwili vilivyoko juu ya hizo nguzo na misuko miwili kama ya mkeka ya kuvifunika vile vilemba viwili vya vichwa vilivyoko juu ya hizo nguzo;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
zile nguzo mbili, na vimbe mbili za taji zilikuwa juu ya nguzo; na nyavu mbili za kuzifunika hizo vimbe mbili za taji zilizokuwa juu ya nguzo;