1 Kings 7:42 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
mifano ya makomamanga 400 kwa ajili ya nyavu hizo mbili, safu mbili za makomamanga kwa kila wavu ili kupamba zile taji mbili zilizokuwa juu ya nguzo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
makomamanga mia nne kwa ajili ya hizo nyavu mbili (safu mbili za makomamanga kwa kila wavu, yakipamba hayo mataji mawili yenye umbo la bakuli juu ya hizo nguzo);
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na makomamanga mia nne ya zile nyavu mbili; safu mbili za makomamanga kwa kila wavu, kuzifunika hizo vimbe mbili za taji zilizokuwa juu ya nguzo;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
mifano ya makomamanga 400 kwa ajili ya nyavu hizo mbili, safu mbili za makomamanga kwa kila wavu ili kupamba zile taji mbili zilizokuwa juu ya nguzo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
makomamanga 400 kwa ajili ya hizo nyavu mbili (zikiwa na safu mbili za makomamanga kwa kila wavu, zikipamba hayo mataji mawili yenye umbo la bakuli juu ya hizo nguzo);
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
makomamanga 400 kwa ajili ya hizo nyavu mbili (safu mbili za makomamanga kwa kila wavu, yakipamba hayo mataji mawili yenye umbo la bakuli juu ya hizo nguzo);
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na makomamanga mia nne ya zile nyavu mbili; safu mbili za makomamanga kwa kila wavu, kuyafunika nayo mabakuli mawili ya mataji yaliyokuwa juu ya nguzo;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
mifano ya makomamanga 400 kwa ajili ya nyavu hizo mbili, safu mbili za makomamanga kwa kila wavu ili kupamba zile taji mbili zilizokuwa juu ya nguzo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
tena komamanga 400 zilizotiwa katika ile misuko, kila msuko mmoja ukipata mistari miwili ya komamanga ya kuvifunika vile vilemba viwili vya vichwa vilivyoko juu ya hizo nguzo;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na makomamanga mia nne ya zile nyavu mbili; safu mbili za makomamanga kwa kila wavu, kuzifunika hizo vimbe mbili za taji zilizokuwa juu ya nguzo;