1 Kings 7:43 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hali kadhalika, alitengeneza magari kumi, na vishikio kumi katika magari hayo;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
vitako kumi pamoja na masinia yake kumi;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na yale matako kumi, na birika kumi juu ya matako;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hali kadhalika, alitengeneza magari kumi, na vishikio kumi katika magari hayo;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
vitako kumi pamoja na masinia yake kumi;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
vitako kumi pamoja na masinia yake kumi;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na vile vitako kumi, na birika kumi juu ya vitako;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hali kadhalika, alitengeneza magari kumi, na vishikio kumi katika magari hayo;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
tena vile vilingo kumi na mitungi kumi iliyowekwa juu ya hivyo vilingo;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na yale matako kumi, na birika kumi juu ya matako;