1 Kings 7:44 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na tangi lile moja na sanamu za mafahali kumi na wawili, chini ya hilo tangi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ile Bahari ya chuma na wale mafahali kumi na wawili chini yake;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na ile bahari moja, na ng'ombe kumi na wawili chini ya ile bahari;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na tangi lile moja na sanamu za mafahali kumi na wawili, chini ya hilo tangi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ile Bahari ya chuma na yale mafahali kumi na mawili chini yake;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ile Bahari ya chuma na yale mafahali kumi na wawili chini yake;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na ile bahari moja, na ng'ombe kumi na wawili chini ya ile bahari;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na tangi lile moja na sanamu za mafahali kumi na wawili, chini ya hilo tangi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
tena ile bahari moja na zile ng'ombe kumi na mbili zilizokuwa chini ya ile bahari;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na ile bahari moja, na ng’ombe kumi na wawili chini ya ile bahari;