1 Kings 7:45 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Halafu vile vyungu, sepetu na mabirika, vyombo hivyo vyote vilivyokuwa katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu ambavyo Hiramu alimtengenezea mfalme Solomoni, vilikuwa vya shaba iliyongarishwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
masufuria, masepetu na mabakuli ya kunyunyizia. Vyombo hivi vyote ambavyo Huramu alimtengenezea Mfalme Sulemani kwa ajili ya Hekalu la Mwenyezi Mungu vilikuwa vya shaba iliyong’arishwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na masufuria, na majembe, na mabakuli; hata vyombo hivyo vyote, Huramu alivyomfanyia mfalme Sulemani, katika nyumba ya Bwana, vyote vilikuwa vya shaba iliyosuguliwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Halafu vile vyungu, sepetu na mabirika, vyombo hivyo vyote vilivyokuwa katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu ambavyo Hiramu alimtengenezea mfalme Solomoni, vilikuwa vya shaba iliyong'arishwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
masufuria, masepetu na mabakuli ya kunyunyizia. Vyombo hivi vyote ambavyo Hiramu alimtengenezea Mfalme Solomoni kwa ajili ya Hekalu la BWANA vilikuwa vya shaba iliyong'arishwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
masufuria, masepetu na mabakuli ya kunyunyizia. Vyombo hivi vyote ambavyo Huramu alimtengenezea Mfalme Sulemani kwa ajili ya Hekalu la bwana vilikuwa vya shaba iliyong’arishwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na masufuria, na majembe, na mabeseni; hata vyombo hivyo vyote, Huramu alivyomfanyia mfalme Sulemani, katika nyumba ya BWANA, vyote vilikuwa vya shaba iliyosuguliwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Halafu vile vyungu, sepetu na mabirika, vyombo hivyo vyote vilivyokuwa katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu ambavyo Hiramu alimtengenezea mfalme Solomoni, vilikuwa vya shaba iliyongarishwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
nayo masufuria na majembe na vyano. Vyombo hivi vyote, Hiramu alivyomtengenezea mfalme Salomo, avitie nyumbani mwa Bwana, vilikuwa vya shaba iliyong'aa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na masufuria, na majembe, na mabakuli; hata vyombo hivyo vyote, Huramu alivyomfanyia mfalme Sulemani, katika nyumba ya BWANA, vyote vilikuwa vya shaba iliyosuguliwa.