1 Kings 7:47 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Solomoni hakupima uzani wa vifaa hivi vyote kwa kuwa vilikuwa vingi sana, na kwa sababu uzani wa shaba haukujulikana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sulemani hakupima vitu hivi vyote kwa sababu vilikuwa vingi sana; hivyo, uzani wa shaba haukukadiriwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sulemani akaviacha vyombo vyote visipimwe kwa kuwa vilikuwa vingi mno; wala uzito wa shaba haukujulikana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Solomoni hakupima uzani wa vifaa hivi vyote kwa kuwa vilikuwa vingi sana, na kwa sababu uzani wa shaba haukujulikana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Solomoni akaviacha vitu hivi vyote bila kupima uzani wake, kwa sababu vilikuwa vingi sana, uzito wa shaba haukujulikana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sulemani akaviacha vitu hivi vyote bila kupima uzani wake, kwa sababu vilikuwa vingi sana hivi kwamba uzito wa shaba haungekadirika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sulemani akaviacha vyombo vyote visipimwe kwa kuwa vilikuwa vingi mno; wala uzito wa shaba haukujulikana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Solomoni hakupima uzani wa vifaa hivi vyote kwa kuwa vilikuwa vingi sana, na kwa sababu uzani wa shaba haukujulikana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Salomo akaviweka tu vyombo hivi vyote; kwa kuwa vingi sanasana shaba zilizotumiwa hazikupimwa, wala hazikuulizwa, kama ni ngapi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sulemani akaviacha vyombo vyote visipimwe kwa kuwa vilikuwa vingi mno; wala uzito wa shaba haukujulikana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Solomono hakupima uzito wa vifaa hivi vyote kwa kuwa vilikuwa vingi sana, na kwa sababu uzito wa shaba haukujulikana.