1 Kings 7:49 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
vinara vya taa vya dhahabu safi vilivyowekwa mbele ya mahali patakatifu sana, vitano upande wa kusini na vitano upande wa kaskazini; maua, taa, koleo, vyote vikiwa vya dhahabu;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
vinara vya taa vya dhahabu safi (vitano upande wa kuume na vitano upande wa kushoto, mbele ya mahali patakatifu); shada za maua, na taa, na makoleo, vyote vikiwa vya dhahabu;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na vinara vya taa, vitano upande wa kuume, na vitano upande wa kushoto, mbele ya chumba cha ndani, vya dhahabu safi; na maua, na taa, na koleo ya dhahabu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
vinara vya taa vya dhahabu safi vilivyowekwa mbele ya mahali patakatifu sana, vitano upande wa kusini na vitano upande wa kaskazini; maua, taa, koleo, vyote vikiwa vya dhahabu;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
vinara vya taa vya dhahabu safi (vitano upande wa kuume na vitano upande wa kushoto, mbele ya Patakatifu pa Patakatifu); kazi ya maua ya dhahabu na taa na makoleo;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
vinara vya taa vya dhahabu safi (vitano upande wa kuume na vitano upande wa kushoto, mbele ya Patakatifu pa Patakatifu); kazi ya maua ya dhahabu na taa na makoleo;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na vinara vya taa, vitano upande wa kulia, na vitano upande wa kushoto, mbele ya chumba cha ndani, vya dhahabu safi; na maua, na taa, na koleo ya dhahabu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
vinara vya taa vya dhahabu safi vilivyowekwa mbele ya mahali patakatifu sana, vitano upande wa kusini na vitano upande wa kaskazini; maua, taa, koleo, vyote vikiwa vya dhahabu;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
navyo vile vinara, vitano vya kuviweka kuumeni, na vitano vya kuviweka kushotoni mbele ya Patakatifu Penyewe, vilikuwa vya dhahabu zilizong'azwa, nayo maua na taa na koleo zao zilikuwa za dhahabu;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na vinara vya taa, vitano upande wa kuume, na vitano upande wa kushoto, mbele ya chumba cha ndani, vya dhahabu safi; na maua, na taa, na koleo ya dhahabu;