1 Kings 7:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Milango yote ilikuwa ya mraba, na miimo ya madirisha hayo yaliyoelekeana ilikuwa pia ya mraba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Milango yenye miimo ya mstatili ilikuwa upande wa mbele katika safu tatu, ikielekeana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na milango yote na miimo ilikuwa ya mraba, ilivyoangaziwa; na mwangaza kuelekea mwangaza katika madaraja matatu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Milango yote ilikuwa ya mraba, na miimo ya madirisha hayo yaliyoelekeana ilikuwa pia ya mraba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Milango yote ilikuwa na miimo ya mstatili, ilikuwa upande wa mbele katika safu tatu, ikielekeana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Milango yote ilikuwa na miimo ya mstatili, ilikuwa upande wa mbele katika safu tatu, ikielekeana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na milango yote na miimo ilikuwa ya mraba, ilivyoangaziwa; na mwangaza kuelekea mwangaza katika madaraja matatu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Milango yote ilikuwa ya mraba, na miimo ya madirisha hayo yaliyoelekeana ilikuwa pia ya mraba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Milango yote na miimo yote ilikuwa ya nguzo zenye miraba, hata madirisha yaliyoelekeana dirisha kwa dirisha, hivyo mara tatu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na milango yote na miimo ilikuwa ya mraba, ilivyoangaziwa; na mwangaza kuelekea mwangaza katika madaraja matatu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Milango yote ilikuwa ya muraba, na miimo ya madirisha hayo yaliyoelekeana ilikuwa ya muraba vilevile.