1 Kings 7:50 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
vikombe, makasi ya kukatia tambi za mishumaa, mabakuli, vyetezo vya kuwekea ubani, miiko ya kuchukulia moto, vyote vya dhahabu safi; bawaba za milango ya sehemu ya ndani kabisa ya nyumba — pale mahali patakatifu sana — na bawaba za milango ya ukumbi wa ibada wa hekalu bawaba zote za dhahabu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
vyombo vya dhahabu safi: masinia, mikasi ya kusawazishia tambi, mabakuli ya kunyunyizia, vyano na vyetezo; na bawaba za dhahabu kwa ajili ya milango ya chumba cha ndani sana, yaani Patakatifu pa Patakatifu, na pia kwa ajili ya milango ya ukumbi mkuu wa Hekalu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na vikombe, na makasi, na mabakuli, na miiko, na vyetezo, vya dhahabu safi; na bawaba za dhahabu, za milango ya nyumba ya ndani, yaani, patakatifu pa patakatifu, na za milango ya nyumba, ndiyo hekalu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
vikombe, makasi ya kukatia tambi za mishumaa, mabakuli, vyetezo vya kuwekea ubani, miiko ya kuchukulia moto, vyote vya dhahabu safi; bawaba za milango ya sehemu ya ndani kabisa ya nyumba — pale mahali patakatifu sana — na bawaba za milango ya ukumbi wa ibada wa hekalu bawaba zote za dhahabu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
masinia ya dhahabu safi, mikasi ya kusawazishia tambi, mabakuli ya kunyunyizia, vyano na vyetezo; na bawaba za dhahabu kwa ajili ya milango ya chumba cha ndani sana, yaani Patakatifu pa Patakatifu, na pia kwa ajili ya milango ya ukumbi mkuu wa Hekalu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
masinia ya dhahabu safi, mikasi ya kusawazishia tambi, mabakuli ya kunyunyizia, vyano na vyetezo; na bawaba za dhahabu kwa ajili ya milango ya chumba cha ndani sana, yaani Patakatifu pa Patakatifu, na pia kwa ajili ya milango ya ukumbi mkuu wa Hekalu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na vikombe, na makasi, na mabakuli, na miiko, na vyetezo, vya dhahabu safi; na bawaba za dhahabu, za milango ya nyumba ya ndani, yaani, patakatifu pa patakatifu, na za milango ya nyumba, ndiyo hekalu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
vikombe, makasi ya kukatia tambi za mishumaa, mabakuli, vyetezo vya kuwekea ubani, miiko ya kuchukulia moto, vyote vya dhahabu safi; bawaba za milango ya sehemu ya ndani kabisa ya nyumba – pale mahali patakatifu sana – na bawaba za milango ya ukumbi wa ibada wa hekalu bawaba zote za dhahabu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
tena mabakuli na makato ya kusafishia mishumaa na vyano na kata na sinia zilikuwa za dhahabu zilizong'azwa. Nazo bawaba za milango ya chumba cha ndani pa kupaingilia Patakatifu Penyewe nazo za milango ya chumba kikubwa cha Patakatifu zilikuwa za dhahabu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)