1 Kings 7:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alijenga ukumbi wa nguzo, ambao urefu wake ulikuwa mita 22.25, na upana wake mita 13.5. Kwenye sehemu ya mbele ya jengo hilo kulikuwa na sebule. Mbele ya sebule kulikuwa na nguzo; na mbele ya nguzo kulitokeza paa dogo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akajenga safu ya nguzo, yenye urefu wa dhiraa hamsini na upana wa dhiraa thelathini. Mbele ya jengo hilo kulikuwa na baraza. Mbele ya baraza kulikuwa na nguzo na paa lililoning’inia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akaifanya baraza ya nguzo; mikono hamsini urefu wake, na mikono thelathini upana wake; na ukumbi mbele yake; na nguzo na mihimili minene mbele yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alijenga ukumbi wa nguzo, ambao urefu wake ulikuwa mita 22.25, na upana wake mita 13.5. Kwenye sehemu ya mbele ya jengo hilo kulikuwa na sebule. Mbele ya sebule kulikuwa na nguzo; na mbele ya nguzo kulitokeza paa dogo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akajenga ukumbi wa nguzo, ambao urefu wake ulikuwa dhiraa hamsini na upana wake dhiraa thelathini. Mbele ya jengo hilo kulikuwepo baraza. Mbele ya baraza kulikuwapo na nguzo na paa lililoning'inia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akajenga ukumbi wa nguzo, ambao urefu wake ulikuwa dhiraa hamsini na upana wake dhiraa thelathini. Mbele ya jengo hilo kulikuwepo baraza. Mbele ya baraza kulikuwepo na nguzo na paa lililoning’inia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akaifanya baraza ya nguzo; mikono hamsini urefu wake, na mikono thelathini upana wake; na ukumbi mbele yake; na nguzo na mihimili minene mbele yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alijenga ukumbi wa nguzo, ambao urefu wake ulikuwa mita 22.25, na upana wake mita 13.5. Kwenye sehemu ya mbele ya jengo hilo kulikuwa na sebule. Mbele ya sebule kulikuwa na nguzo; na mbele ya nguzo kulitokeza paa dogo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akatengeneza ukumbi wenye nguzo, urefu wake wa kwenda mbele ulikuwa mikono hamsini, upana wake mikono thelathini; mbele yake kulikuwa na ukumbi mwingine wenye nguzo na kipago mbele yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akaifanya baraza ya nguzo; mikono hamsini urefu wake, na mikono thelathini upana wake; na ukumbi mbele yake; na nguzo na mihimili minene mbele yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alijenga uwanja wa nguzo, ambao urefu wake ulikuwa metre makumi mbili na mbili na sentimetre makumi mbili na tano, na upana wake metre kumi na tatu na nusu. Kwenye sehemu ya mbele ya jengo hilo kulikuwa baraza. Mbele ya baraza kulikuwa nguzo; na mbele ya nguzo kulitokeza paa dogo.