1 Kings 7:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nyumba yake ya kukaa mwenyewe, iliyokuwa nyuma ya Ukumbi wa Hukumu, ilikuwa imejengwa kama zile nyingine. Solomoni pia alijenga nyumba kama ukumbi huo kwa ajili ya binti Farao, ambaye alikuwa amemwoa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Jumba la kifalme ambamo angeishi, aliliweka nyuma kidogo, na lilijengwa kama jumba hilo la hukumu. Pia Sulemani akajenga jumba la kifalme lililofanana na hilo kwa ajili ya binti Farao, aliyekuwa amemwoa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nayo nyumba yake atakayokalia, katika behewa nyingine iliyokuwa ndani kupita baraza, ilikuwa ya kazi kama hiyo. Tena akamjengea nyumba binti Farao, (ambaye Sulemani alikuwa amemwoa), mfano wa ile baraza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nyumba yake ya kukaa mwenyewe, iliyokuwa nyuma ya Ukumbi wa Hukumu, ilikuwa imejengwa kama zile nyingine. Solomoni pia alijenga nyumba kama ukumbi huo kwa ajili ya binti Farao, ambaye alikuwa amemwoa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwenye jumba la kifalme ambamo angeliishi, aliiweka nyuma zaidi, ikiwa na mjengo wa aina moja na hiyo nyingine. Pia Solomoni akajenga jumba la kifalme linalofanana na huo ukumbi mkubwa kwa ajili ya binti Farao, aliyekuwa amemwoa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwenye jumba la kifalme ambamo angeliishi, aliiweka nyuma zaidi, ikiwa na mjengo wa aina moja na hiyo nyingine. Pia Sulemani akajenga jumba la kifalme linalofanana na huo ukumbi mkubwa kwa ajili ya binti Farao, aliyekuwa amemwoa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nayo nyumba yake atakayokalia, katika behewa nyingine iliyokuwa ndani kupita baraza, ilikuwa ya kazi kama hiyo. Tena akamjengea nyumba binti Farao, (ambaye Sulemani alikuwa amemwoa), mfano wa ile baraza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nyumba yake ya kukaa mwenyewe, iliyokuwa nyuma ya Ukumbi wa Hukumu, ilikuwa imejengwa kama zile nyingine. Solomoni pia alijenga nyumba kama ukumbi huo kwa ajili ya binti Farao, ambaye alikuwa amemwoa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akaijenga nyumba yake ya kukaa humo katika ua wa pili upande wa ndani wa ukumbi huo, nayo ikajengwa vivyo hivyo. Tena akajenga nyumba ya binti Farao, Salomo aliyemwoa, ikawa vivyo hivyo kama ule ukumbi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nayo nyumba yake atakayokalia, katika behewa nyingine iliyokuwa ndani kupita baraza, ilikuwa ya kazi kama hiyo. Tena akamjengea nyumba binti Farao, (ambaye Sulemani alikuwa amemwoa), mfano wa ile baraza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nyumba yake ya kukaa mwenyewe iliyokuwa nyuma ya Uwanja wa Hukumu. Ilijengwa kama zile zingine. Solomono alijenga vilevile nyumba kama uwanja huo kwa ajili ya binti ya mufalme wa Misri, ambaye alikuwa amemwoa.