1 Kings 8:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ikawa, makuhani walipotoka pale mahali patakatifu, wingu liliijaza nyumba ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Makuhani walipoondoka katika Mahali Patakatifu, wingu likajaza Hekalu la Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa, makuhani walipotoka katika patakatifu, nyumba ya Bwana ikajaa wingu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ikawa, makuhani walipotoka pale mahali patakatifu, wingu liliijaza nyumba ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Makuhani walipoondoka katika Mahali Patakatifu, wingu likalijaza Hekalu la BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Makuhani walipoondoka katika Mahali Patakatifu, wingu likajaza Hekalu la bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa, makuhani walipotoka katika patakatifu, nyumba ya BWANA ikajaa wingu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ikawa, makuhani walipotoka pale mahali patakatifu, wingu liliijaza nyumba ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ikawa, watambikaji walipotoka Patakatifu, ndipo, wingu lilipoijaza Nyumba ya Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa, makuhani walipotoka katika patakatifu, nyumba ya BWANA ikajaa wingu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Makuhani walipotoka pale Pahali Patakatifu, wingu liliijaza nyumba ya Yawe.