1 Kings 8:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati wa sikukuu ya mwezi wa Ethanimu, yaani mwezi wa saba. Ndipo watu hao wote walipokusanyika mbele ya mfalme Solomoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanaume wote wa Israeli wakakusanyika kwa Mfalme Sulemani wakati wa sikukuu ya mwezi wa Ethanimu, ndio mwezi wa saba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakakutana mbele ya mfalme Sulemani watu wote wa Israeli wakati wa sikukuu, katika mwezi wa Ethanimu, ndio mwezi wa saba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati wa sikukuu ya mwezi wa Ethanimu, yaani mwezi wa saba. Ndipo watu hao wote walipokusanyika mbele ya mfalme Solomoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wanaume wote wa Israeli wakakusanyika kwa Mfalme Solomoni wakati wa sikukuu ya mwezi wa Ethanimu, ndio mwezi wa saba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wanaume wote wa Israeli wakakusanyika kwa Mfalme Sulemani wakati wa sikukuu ya mwezi wa Ethanimu, ndio mwezi wa saba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watu wote wa Israeli wakakutana mbele ya mfalme Sulemani wakati wa sikukuu, katika mwezi wa Ethanimu, ndio mwezi wa saba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati wa sikukuu ya mwezi wa Ethanimu, yaani mwezi wa saba. Ndipo watu hao wote walipokusanyika mbele ya mfalme Solomoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, watu wote wa Isiraeli walipokusanyika kwa mfalme Salomo kufanya sikukuu katika mwezi wa Etanimu, ndio mwezi wa saba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakakutana mbele ya mfalme Sulemani watu wote wa Israeli wakati wa sikukuu, katika mwezi wa Ethanimu, ndio mwezi wa saba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu watu hao wote wakakusanyika mbele ya mufalme Solomono wakati wa sikukuu ya mwezi wa Etanimu, ni kusema mwezi wa saba.