1 Kings 8:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, ee Mungu wa Israeli, nakusihi utimize hayo yote uliyomwahidi mtumishi wako, Daudi baba yangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sasa, Ee Mungu wa Israeli, ruhusu neno lako ulilomwahidi mtumishi wako Daudi baba yangu litimie.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sasa, Ee Mungu wa Israeli, nakusihi, ulithibitishe neno lako, ulilomwambia mtumishi wako, Daudi, baba yangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, ee Mungu wa Israeli, nakusihi utimize hayo yote uliyomwahidi mtumishi wako, Daudi baba yangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sasa, Ee Mungu wa Israeli, acha neno lako lile ulilomwahidi mtumishi wako Daudi baba yangu litokee sawasawa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sasa, Ee Mungu wa Israeli, acha neno lako lile ulilomwahidi mtumishi wako Daudi baba yangu litimie.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sasa, Ee Mungu wa Israeli, nakusihi, ulithibitishe neno lako, ulilomwambia mtumishi wako, Daudi, baba yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, ee Mungu wa Israeli, nakusihi utimize hayo yote uliyomwahidi mtumishi wako, Daudi baba yangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa Mungu wa Isiraeli, hilo neno lako, ulilomwambia mtumishi wako, baba yangu Dawidi, na lishupazwe!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sasa, Ee Mungu wa Israeli, nakusihi, ulithibitishe neno lako, ulilomwambia mtumishi wako, Daudi, baba yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, ee Mungu wa Israeli, ninakusihi utimize hayo yote uliyomwahidi mutumishi wako Daudi, baba yangu.