1 Kings 8:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baada ya wazee wote wa Israeli kuwasili, makuhani walibeba sanduku la agano.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wazee wote wa Israeli walipofika, makuhani wakajitwika lile Sanduku,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wazee wote wa Israeli wakaja, nao makuhani wakajitwika sanduku.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baada ya wazee wote wa Israeli kuwasili, makuhani walibeba sanduku la agano.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Viongozi wote wa Israeli walipokwisha kufika, makuhani wakajitwika hilo Sanduku la Agano,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wazee wote wa Israeli walipofika, makuhani wakajitwika Sanduku la Agano,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wazee wote wa Israeli wakaja, nao makuhani wakajitwika sanduku.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baada ya wazee wote wa Israeli kuwasili, makuhani walibeba sanduku la agano.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wazee wote wa Isiraeli walipokwisha fika, watambikaji wakalichukua hilo Sanduku.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wazee wote wa Israeli wakaja, nao makuhani wakajitwika sanduku.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha kufika kwa wazee wote wa Israeli, makuhani walibeba Sanduku la Agano.