1 Kings 8:34 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
basi, uwasikie kutoka huko mbinguni, uwasamehe watu wako Israeli dhambi zao, halafu uwarudishe katika nchi uliyowapa babu zao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
basi usikie ukiwa mbinguni, ukasamehe dhambi ya watu wako Israeli na kuwarudisha katika nchi uliyowapa baba zao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
basi, usikie huko mbinguni, ukawaachilie watu wako Israeli dhambi yao, ukawarejeze tena katika nchi uliyowapa baba zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
basi, uwasikie kutoka huko mbinguni, uwasamehe watu wako Israeli dhambi zao, halafu uwarudishe katika nchi uliyowapa babu zao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
basi usikie kutoka mbinguni, ukasamehe dhambi ya watu wako Israeli na kuwarudisha katika nchi uliyowapa baba zao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
basi usikie kutoka mbinguni, ukasamehe dhambi ya watu wako Israeli na kuwarudisha katika nchi uliyowapa baba zao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
basi, usikie huko mbinguni, ukawaachilie watu wako Israeli dhambi yao, ukawarejeshe tena katika nchi uliyowapa baba zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
basi, uwasikie kutoka huko mbinguni, uwasamehe watu wako Israeli dhambi zao, halafu uwarudishe katika nchi uliyowapa babu zao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wewe na uwasikie huko mbinguni, uwaondolee walio ukoo wako wa Waisiraeli makosa yao! Kisha warudishe katika nchi hii, uliyowapa baba zao!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
basi, usikie huko mbinguni, ukawaachilie watu wako Israeli dhambi yao, ukawarejeze tena katika nchi uliyowapa baba zao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
basi, uwasikilize kutokea kule mbinguni, uwasamehe watu wako Waisraeli zambi zao, halafu uwarudishe katika inchi uliyowapa babu zao.