1 Kings 8:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walawi na makuhani walihamisha sanduku la agano na hema la mkutano, na vyombo vitakatifu vyote vilivyokuwa humo hemani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
nao wakalipandisha Sanduku la Mwenyezi Mungu, na Hema la Kukutania, pamoja na vyombo vyote vitakatifu vilivyokuwa ndani yake. Makuhani na Walawi wakavibeba,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakalipandisha sanduku la Bwana, na ile hema ya kukutania, na vyombo vitakatifu vyote vilivyokuwa katika ile Hema; vitu hivyo makuhani na Walawi wakavipandisha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walawi na makuhani walihamisha sanduku la agano na hema la mkutano, na vyombo vitakatifu vyote vilivyokuwa humo hemani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wakalipandisha Sanduku la BWANA, Hema la Kukutania pamoja na vyombo vyote vitakatifu ndani yake. Makuhani na Walawi wakavibeba,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
nao wakalipandisha Sanduku la bwana, na Hema la Kukutania pamoja na vyombo vyote vitakatifu vilivyokuwa ndani yake. Makuhani na Walawi wakavibeba,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakalipandisha sanduku la BWANA, na ile hema ya kukutania, na vyombo vitakatifu vyote vilivyokuwa katika ile Hema; vitu hivyo makuhani na Walawi wakavipandisha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walawi na makuhani walihamisha sanduku la agano na hema la mkutano, na vyombo vitakatifu vyote vilivyokuwa humo hemani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakalipeleka Sanduku la Bwana pamoja na Hema la Mkutano na vyombo vitakatifu vyote vilivyokuwa Hemani; hivi watambikaji na Walawi wakavipandisha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakalipandisha sanduku la BWANA, na ile hema ya kukutania, na vyombo vitakatifu vyote vilivyokuwa katika ile Hema; vitu hivyo makuhani na Walawi wakavipandisha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walawi na makuhani walihamisha Sanduku la Agano na hema la mukutano, na vyombo vitakatifu vyote vilivyokuwa mule ndani ya hema.