1 Kings 8:40 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
ili wakutii wakati wote wanapoishi katika nchi uliyowapa babu zetu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ili wakuogope kwa wakati wote watakaoishi katika nchi uliyowapa baba zetu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ili wakuche wewe siku zote watakazoishi katika nchi uliyowapa baba zetu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
ili wakutii wakati wote wanapoishi katika nchi uliyowapa babu zetu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ili wakuogope kwa wakati wote watakaoishi katika nchi uliyowapa baba zetu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ili wakuogope kwa wakati wote watakaoishi katika nchi uliyowapa baba zetu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ili wakuche wewe siku zote watakazoishi katika nchi uliyowapa baba zetu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
ili wakutii wakati wote wanapoishi katika nchi uliyowapa babu zetu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kusudi wakuogope siku zote, watakazokuwapo katika nchi hii, uliyowapa baba zetu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ili wakuche wewe siku zote watakazoishi katika nchi uliyowapa baba zetu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kusudi wakutii wakati wote wanapoishi katika inchi uliyowapa babu zetu.