1 Kings 8:41 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Vivyo hivyo, wakati mgeni asiye mmoja wa watu wako Israeli akija kutoka nchi ya mbali kwa ajili ya jina lako
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Kuhusu mgeni ambaye si miongoni mwa watu wako Israeli, lakini amekuja kutoka nchi ya mbali kwa sababu ya jina lako,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata na mgeni naye, asiyekuwa mmoja wa watu wako Israeli, atakapokuja kutoka nchi iliyo mbali sana kwa ajili ya jina lako;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Vivyo hivyo, wakati mgeni asiye mmoja wa watu wako Israeli akija kutoka nchi ya mbali kwa ajili ya jina lako
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kwa habari ya mgeni ambaye si miongoni mwa watu wako Israeli, lakini amekuja kutoka nchi ya mbali kwa sababu ya jina lako,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kwa habari ya mgeni ambaye si miongoni mwa watu wako Israeli, lakini amekuja kutoka nchi ya mbali kwa sababu ya jina lako,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata na mgeni naye, asiyekuwa mmoja wa watu wako Israeli, atakapokuja kutoka nchi iliyo mbali sana kwa ajili ya jina lako;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Vivyo hivyo, wakati mgeni asiye mmoja wa watu wako Israeli akija kutoka nchi ya mbali kwa ajili ya jina lako
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena itakuwa, hata mgeni asiye wa ukoo wako wa Waisiraeli aje huku na kutoka katika nchi ya mbali kwa ajili ya Jina lako,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata na mgeni naye, asiyekuwa mmoja wa watu wako Israeli, atakapokuja kutoka nchi iliyo mbali sana kwa ajili ya jina lako;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Hata wakati mugeni asiyekuwa mumoja wa watu wako Waisraeli akikuja kutoka inchi ya mbali kwa ajili ya jina lako,