1 Kings 8:42 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(maana watu wa mataifa mengine watasikia sifa zako na kuhusu nguvu na uwezo wako), mtu huyo akija na kuomba katika nyumba hii,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa maana watu watasikia kuhusu Jina lako kuu na kuhusu mkono wako wenye nguvu na mkono wako ulionyooshwa, atakapokuja na kuomba kuelekea Hekalu hili,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
(maana watasikia habari za jina lako kuu, na za mkono wako ulio hodari, na za mkono wako ulionyoshwa); atakapokuja na kuomba kuielekea nyumba hii;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
(maana watu wa mataifa mengine watasikia sifa zako na kuhusu nguvu na uwezo wako), mtu huyo akija na kuomba katika nyumba hii,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa maana watu watasikia juu ya Jina lako kuu na juu ya mkono wako wenye nguvu na mkono wako ulionyooshwa, wakati atakapokuja na kuomba kuelekea Hekalu hili,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa maana watu watasikia juu ya Jina lako kuu na juu ya mkono wako wenye nguvu na mkono wako ulionyooshwa, atakapokuja na kuomba kuelekea Hekalu hili,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
(maana watasikia habari za jina lako kuu, na za mkono wako ulio hodari, na za mkono wako ulionyoshwa); atakapokuja na kuomba kuielekea nyumba hii;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
(maana watu wa mataifa mengine watasikia sifa zako na kuhusu nguvu na uwezo wako), mtu huyo akija na kuomba katika nyumba hii,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kwani watapata habari za Jina lako lililo kuu na za kiganja chako kilicho na nguvu na za mkono wako uliokunjuka; basi, hapo atakapokuja, aombee humu Nyumbani,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
(maana watasikia habari za jina lako kuu, na za mkono wako ulio hodari, na za mkono wako ulionyoshwa); atakapokuja na kuomba kuielekea nyumba hii;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
maana watu wa mataifa mengine watasikia sifa zako na juu ya nguvu na uwezo wako, mutu yule akikuja na kuomba akielekea nyumba hii,