1 Kings 8:49 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
basi, nakusihi kutoka huko mbinguni uliko usikie sala yao na ombi lao uwapatie haki zao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
basi usikie dua na maombi yao ukiwa mbinguni, makao yako, ukawape haki yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
basi, uyasikie maombi yao na dua yao, huko mbinguni, makao yako, ukaitetee haki yao;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
basi, nakusihi kutoka huko mbinguni uliko usikie sala yao na ombi lao uwapatie haki zao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
basi kutoka mbinguni, mahali pa makao yako, usikie dua yao na maombi yao na ukawatetee haki yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
basi kutoka mbinguni, mahali pa makao yako, usikie dua yao na maombi yao na kuitetea haki yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
basi, uyasikie maombi yao na dua yao, huko mbinguni, makao yako, ukaitetee haki yao;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
basi, nakusihi kutoka huko mbinguni uliko usikie sala yao na ombi lao uwapatie haki zao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
basi, wewe huko mbinguni kuliko na Kao lako la kukaa na uyasikie maombo yao na malalamiko yao, uwatengenezee shauri lao
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
basi, uyasikie maombi yao na dua yao, huko mbinguni, makao yako, ukaitetee haki yao;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
basi, kutoka kwako mbinguni usikilize wakati wanakuomba na kukusihi. Uwasaidie.