1 Kings 8:50 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uwasamehe watu wako dhambi walizotenda dhidi yako na uasi wao, uwahurumie mbele ya adui zao, ili nao wapate kuwahurumia,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Uwasamehe watu wako, waliotenda dhambi dhidi yako; uwasamehe makosa yote waliyoyatenda dhidi yako, na ukawafanye wale waliowashinda kuwaonea huruma;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ukawasamehe watu wako waliokutenda dhambi, na makosa yao yote waliyokukosa; ukawape kuonewa huruma mbele yao waliowachukua mateka, ili wapate kuwahurumia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uwasamehe watu wako dhambi walizotenda dhidi yako na uasi wao, uwahurumie mbele ya adui zao, ili nao wapate kuwahurumia,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Uwasamehe watu wako, waliotenda dhambi dhidi yako; uwasamehe makosa yote waliyoyatenda dhidi yako, ukawafanye wale waliowashinda kuwaonea huruma;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Uwasamehe watu wako, waliotenda dhambi dhidi yako; uwasamehe makosa yote waliyoyatenda dhidi yako, ukawafanye wale waliowashinda kuwaonea huruma;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ukawasamehe watu wako waliokutenda dhambi, na makosa yao yote waliyokukosa; ukawape kuonewa huruma mbele yao waliowachukua mateka, ili wapate kuwahurumia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uwasamehe watu wako dhambi walizotenda dhidi yako na uasi wao, uwahurumie mbele ya adui zao, ili nao wapate kuwahurumia,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
na kuwaondolea walio ukoo wako makosa yao, waliyokukosea, hata mapotovu yao yote, waliyokutendea, kisha uwapatie huruma machoni pao waliowahamisha, wawahurumie!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ukawasamehe watu wako waliokutenda dhambi, na makosa yao yote waliyokukosa; ukawape kuonewa huruma mbele yao waliowachukua mateka, ili wapate kuwahurumia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uwasamehe watu wako zambi walizotenda mbele yako na uasi wao, uwahurumie mbele ya waadui zao, kusudi nao wapate kuwahurumia,