1 Kings 8:51 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
maana ni watu wako, na ni mali yako; watu ambao uliwatoa Misri kutoka katika tanuri ya chuma.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa maana ni watu wako na urithi wako, uliowatoa Misri, kutoka lile tanuru la kuyeyushia chuma.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa ni watu wako, na urithi wako, uliowatoa katika Misri, toka katikati ya tanuu ya chuma.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
maana ni watu wako, na ni mali yako; watu ambao uliwatoa Misri kutoka katika tanuri ya chuma.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa maana ni watu wako na urithi wako, uliowatoa Misri, kutoka kwenye lile tanuru lakuyeyushia chuma.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa maana ni watu wako na urithi wako, uliowatoa Misri, kutoka kwenye lile tanuru la kuyeyushia chuma.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa ni watu wako, na urithi wako, uliowatoa kutoka Misri, toka katikati ya tanuri ya chuma.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
maana ni watu wako, na ni mali yako; watu ambao uliwatoa Misri kutoka katika tanuri ya chuma.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani ndio watu wa ukoo wako na fungu lako, uliowatoa huko Misri katika tanuru ya kuyeyushia vyuma.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa ni watu wako, na urithi wako, uliowatoa katika Misri, toka katikati ya tanuu ya chuma.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
maana ni watu wako, na ni mali yako, watu ambao uliwatoa Misri kutoka katika furu ya chuma.