1 Kings 8:52 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Uangalie ombi la mtumishi wako na ombi la watu wako, Israeli, uwasikie kila wanapokuomba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Macho yako na yafumbuke kwa ombi la mtumishi wako na ombi la watu wako Israeli, nawe uwasikilize wakati wowote wanapokulilia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Macho yako na yafumbuke, na kuielekea dua ya mtumwa wako, na dua za watu wako Israeli, ukawasikilize kila wakati watakapokulilia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Uangalie ombi la mtumishi wako na ombi la watu wako, Israeli, uwasikie kila wanapokuomba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Macho yako na yafumbuke juu ya ombi la mtumishi wako na ombi la watu wako Israeli, nawe uwasikilize wakati wo wote wanapokulilia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Macho yako na yafumbuke juu ya ombi la mtumishi wako na ombi la watu wako Israeli, nawe uwasikilize wakati wowote wanapokulilia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Macho yako na yafumbuke, na kuielekea dua ya mtumwa wako, na dua za watu wako Israeli, ukawasikilize kila wakati watakapokulilia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Uangalie ombi la mtumishi wako na ombi la watu wako, Israeli, uwasikie kila wanapokuomba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Uwe macho, upate kuyasikiliza malalamiko ya mtumishi wako na malalamiko yao walio ukoo wako wa Waisiraeli, uwasikie kila, watakapokulilia!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Macho yako na yafumbuke, na kuielekea dua ya mtumwa wako, na dua za watu wako Israeli, ukawasikilize kila wakati watakapokulilia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Uangalie wakati mutumishi wako anapokusihi na wakati watu wako Waisraeli wanapokusihi. Uwasikilize kila mara wanapokulilia.