1 Kings 8:55 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alisimama, akawabariki Waisraeli wote waliokuwa wamekusanyika hapo, akisema kwa sauti kubwa,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akasimama na kubariki kusanyiko lote la Israeli kwa sauti kubwa, akisema:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akasimama, na kuwabariki mkutano wote wa Israeli kwa sauti kuu, akasema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alisimama, akawabariki Waisraeli wote waliokuwa wamekusanyika hapo, akisema kwa sauti kubwa,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akasimama na kubariki kusanyiko lote la Israeli kwa sauti kubwa akisema:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akasimama na kubariki kusanyiko lote la Israeli kwa sauti kubwa akisema:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akasimama, na kuwabariki mkutano wote wa Israeli kwa sauti kuu, akasema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alisimama, akawabariki Waisraeli wote waliokuwa wamekusanyika hapo, akisema kwa sauti kubwa,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akasimama, akaubariki mkutano wote wa Waisiraeli na kupaza sauti sana akisema:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akasimama, na kuwabariki mkutano wote wa Israeli kwa sauti kuu, akasema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alisimama, akawabariki Waisraeli wote waliokuwa wamekusanyika pale, akisema kwa sauti kubwa: