1 Kings 8:58 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeye aelekeze mioyo yetu kwake, ili tufuate njia zake, tukishika amri zake, maongozi yake na maagizo yake aliyowapa babu zetu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeye na aielekeze mioyo yetu kwake, ili tutembee katika njia zake zote na kushika amri, maagizo, na masharti aliyowapa baba zetu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
aielekeze mioyo yetu kwake, ili tuende katika njia zake zote, na kuzishika amri zake, na sheria zake, na hukumu zake, alizowaamuru baba zetu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeye aelekeze mioyo yetu kwake, ili tufuate njia zake, tukishika amri zake, maongozi yake na maagizo yake aliyowapa babu zetu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeye na aielekeze mioyo yetu kwake, ili tutembee katika njia zake zote na kuzishika amri na maagizo na masharti aliyowapa baba zetu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeye na aielekeze mioyo yetu kwake, ili tutembee katika njia zake zote na kuzishika amri na maagizo na masharti aliyowapa baba zetu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
aielekeze mioyo yetu kwake, ili tuende katika njia zake zote, na kuzishika amri zake, na sheria zake, na hukumu zake, alizowaamuru baba zetu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeye aelekeze mioyo yetu kwake, ili tufuate njia zake, tukishika amri zake, maongozi yake na maagizo yake aliyowapa babu zetu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
apate kuielekeza mioyo yetu na kwake, tuendelee katika njia zake zote na kuyaangalia maagizo yake na maongozi yake na maamuzi yake, aliyowaagiza baba zetu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
aielekeze mioyo yetu kwake, ili tuende katika njia zake zote, na kuzishika amri zake, na sheria zake, na hukumu zake, alizowaamuru baba zetu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeye aelekeze mioyo yetu kwake, kusudi tufuate njia zake, tukishika amri zake, masharti yake na maagizo yake aliyowapa babu zetu.