1 Kings 8:59 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, maneno yangu haya ambayo ni ombi langu mbele ya Mwenyezi-Mungu, yawe karibu na Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, mchana na usiku, naye amjalie mtumishi wake, na watu wake Israeli, ili wafanikiwe katika haja zao za kila siku.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nami maneno yangu haya, ambayo nimeyaomba mbele za Mwenyezi Mungu, yawe karibu na Mwenyezi Mungu, Mungu wetu, usiku na mchana, ili awape haki mtumishi wake na watu wake Israeli, kulingana na mahitaji yao ya kila siku,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na maneno yangu haya, niliyoyaomba mbele za Bwana, na yawe karibu na Bwana, Mungu wetu, mchana na usiku, ili aitetee haki ya mtumishi wake, na haki ya watu wake Israeli, kwa kadiri ya haja zao za kila siku.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, maneno yangu haya ambayo ni ombi langu mbele ya Mwenyezi-Mungu, yawe karibu na Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, mchana na usiku, naye amjalie mtumishi wake, na watu wake Israeli, ili wafanikiwe katika haja zao za kila siku.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nami maneno yangu haya, ambayo nimeyaomba mbele za BWANA, yawe karibu na BWANA Mungu wetu mchana na usiku, ili kwamba atetee shauri la mtumishi wake na la watu wake Israeli kulingana na hitaji lao la kila siku,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nami maneno yangu haya, ambayo nimeyaomba mbele za bwana, yawe karibu na bwana Mwenyezi Mungu wetu usiku na mchana, ili kwamba atetee shauri la mtumishi wake na la watu wake Israeli kulingana na hitaji lao la kila siku,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na maneno yangu haya, niliyoyaomba mbele za BWANA, na yawe karibu na BWANA, Mungu wetu, mchana na usiku, ili aitetee haki ya mtumishi wake, na haki ya watu wake Israeli, kwa kadiri ya haja zao za kila siku.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, maneno yangu haya ambayo ni ombi langu mbele ya Mwenyezi-Mungu, yawe karibu na Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, mchana na usiku, naye amjalie mtumishi wake, na watu wake Israeli, ili wafanikiwe katika haja zao za kila siku.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hayo maneno yangu ya kumlalamikia Bwana na yamkalie Bwana Mungu wetu karibu mchana na usiku, amtengenezee mtumishi wake mashauri yake nao walio ukoo wake wa Waisiraeli mashauri yao, kama itakavyowapasa siku kwa siku,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na maneno yangu haya, niliyoyaomba mbele za BWANA, na yawe karibu na BWANA, Mungu wetu, mchana na usiku, ili aitetee haki ya mtumishi wake, na haki ya watu wake Israeli, kwa kadiri ya haja zao za kila siku.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, maneno yangu haya ambayo ni ombi langu mbele ya Yawe, yakuwe karibu na Yawe, Mungu wetu, muchana na usiku, naye amujalie mutumishi wake, na watu wake Waisraeli, kusudi wafanikiwe katika mahitaji yao ya kila siku.