1 Kings 8:60 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nayo mataifa yote ulimwenguni yatajua kwamba kweli Mwenyezi-Mungu ndiye Mungu; wala hakuna mwingine.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ili mataifa yote ya dunia wajue kuwa Mwenyezi Mungu ndiye Mungu na kwamba hakuna mwingine.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watu wote wa ulimwengu wajue ya kuwa Bwana ndiye Mungu; hakuna mwingine.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nayo mataifa yote ulimwenguni yatajua kwamba kweli Mwenyezi-Mungu ndiye Mungu; wala hakuna mwingine.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ili kwamba mataifa yote ya dunia wajue kwamba BWANA ndiye Mungu na kwamba hakuna mwingine.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ili kwamba mataifa yote ya dunia wajue kwamba bwana ndiye Mungu na kwamba hakuna mwingine.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watu wote wa ulimwengu wajue ya kuwa BWANA ndiye Mungu; hakuna mwingine.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nayo mataifa yote ulimwenguni yatajua kwamba kweli Mwenyezi-Mungu ndiye Mungu; wala hakuna mwingine.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kusudi makabila yote ya nchi yapate kujua, ya kuwa Bwana ndiye Mungu, hakuna mwingine tena.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watu wote wa ulimwengu wajue ya kuwa BWANA ndiye Mungu; hakuna mwingine.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nayo mataifa yote katika ulimwengu yatajua kwamba kweli Yawe ndiye Mungu wala hakuna mwingine.