1 Kings 8:61 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nanyi, muwe waaminifu kwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, mkifuata masharti yake na kutii amri zake zote kama mnavyofanya hivi leo.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lazima mwiweke mioyo yenu kikamilifu kwa Mwenyezi Mungu, Mungu wetu, mwishi kwa maagizo yake na kutii amri zake, kama ilivyo wakati huu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mioyo yenu na iwe kamili kwa Bwana, Mungu wetu, kuenenda katika sheria zake, na kuzishika amri zake, kama ilivyo leo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nanyi, muwe waaminifu kwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, mkifuata masharti yake na kutii amri zake zote kama mnavyofanya hivi leo.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini ni lazima mwiweke mioyo yenu kikamilifu kwa BWANA Mungu wetu, kuishi kwa maagizo yake na kutii amri zake, kama ilivyo wakati huu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini ni lazima mwiweke mioyo yenu kikamilifu kwa bwana Mwenyezi Mungu wetu, kuishi kwa maagizo yake na kutii amri zake, kama ilivyo wakati huu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mioyo yenu na iwe kamili kwa BWANA, Mungu wetu, kuenenda katika sheria zake, na kuzishika amri zake, kama ilivyo leo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nanyi, muwe waaminifu kwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, mkifuata masharti yake na kutii amri zake zote kama mnavyofanya hivi leo.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nayo mioyo yenu yote mizima iwe upande wa Bwana Mungu wetu, mwendelee kuyafuata maongozi yake na kuyaangalia maagizo yake kama siku hii ya leo!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mioyo yenu na iwe kamili kwa BWANA, Mungu wetu, kuenenda katika sheria zake, na kuzishika amri zake, kama ilivyo leo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nanyi, mukuwe waaminifu kwa Yawe, Mungu wetu, mukifuata masharti yake na kutii amri zake zote kama munavyofanya hivi leo.”