1 Kings 8:62 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha, mfalme Solomoni na Waisraeli wote waliokuwa pamoja naye walimtolea Mwenyezi-Mungu tambiko.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha mfalme na Waisraeli wote pamoja naye wakatoa dhabihu mbele za Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo mfalme, na Israeli wote pamoja naye, wakatoa sadaka mbele za Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha, mfalme Solomoni na Waisraeli wote waliokuwa pamoja naye walimtolea Mwenyezi-Mungu tambiko.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha mfalme na Israeli wote pamoja naye wakatoa dhabihu mbele za BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha mfalme na Israeli wote pamoja naye wakatoa dhabihu mbele za bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo mfalme, na Israeli wote pamoja naye, wakatoa sadaka mbele za BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha, mfalme Solomoni na Waisraeli wote waliokuwa pamoja naye walimtolea Mwenyezi-Mungu tambiko.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha mfalme nao Waisiraeli wote pamoja naye wakamtolea Bwana ng'ombe za tambiko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo mfalme, na Israeli wote pamoja naye, wakatoa sadaka mbele za BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha, mufalme Solomono na Waisraeli wote waliokuwa pamoja naye walimutolea Yawe sadaka.