1 Kings 9:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mfalme Solomoni alipomaliza kujenga nyumba ya Mwenyezi-Mungu na ikulu na majengo mengine yote aliyokusudia kujenga,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sulemani alipomaliza kujenga Hekalu la Mwenyezi Mungu na jumba la kifalme, na alipokwisha kufanya yote aliyotaka kufanya,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa Sulemani alipokwisha kuijenga nyumba ya Bwana, na nyumba ya mfalme, na mambo yote yaliyoingia moyoni mwake Sulemani, naye akataka kuyafanya,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mfalme Solomoni alipomaliza kujenga nyumba ya Mwenyezi-Mungu na ikulu na majengo mengine yote aliyokusudia kujenga,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Solomoni alipomaliza kujenga Hekalu la BWANA pamoja na jumba la kifalme, alipokwisha kufanya yote aliyotaka kufanya,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sulemani alipomaliza kujenga Hekalu la bwana na jumba la kifalme, alipokwisha kufanya yote aliyotaka kufanya,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa Sulemani alipokwisha kuijenga nyumba ya BWANA, na nyumba ya mfalme, na mambo yote yaliyoingia moyoni mwake Sulemani, naye akataka kuyafanya,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mfalme Solomoni alipomaliza kujenga nyumba ya Mwenyezi-Mungu na ikulu na majengo mengine yote aliyokusudia kujenga,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Salomo alipomaliza kuijenga Nyumba ya Bwana na nyumba ya mfalme na kuyafanya yote, Salomo aliyotaka kuyafanya kwa kupendezwa nayo,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa Sulemani alipokwisha kuijenga nyumba ya BWANA, na nyumba ya mfalme, na mambo yote yaliyoingia moyoni mwake Sulemani, naye akataka kuyafanya,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufalme Solomono alipomaliza kujenga nyumba ya Yawe na nyumba ya kifalme na majengo mengine yote aliyokusudia kujenga,