1 Kings 9:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Hiramu alipowasili kutoka Tiro na kuiona miji hiyo aliyokuwa amepewa na Solomoni hakupendezwa nayo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Hiramu alipotoka Tiro kwenda kuiona ile miji ambayo Sulemani alikuwa amempa, hakupendezwa nayo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Hiramu akatoka Tiro kuitazama hiyo miji Sulemani aliyompa; wala haikumpendcza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Hiramu alipowasili kutoka Tiro na kuiona miji hiyo aliyokuwa amepewa na Solomoni hakupendezwa nayo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini Hiramu alipotoka Tiro kwenda kuiona ile miji ambayo Solomoni alikuwa amempa, hakupendezwa nayo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini Hiramu alipotoka Tiro kwenda kuiona ile miji ambayo Sulemani alikuwa amempa, hakupendezwa nayo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Hiramu akatoka Tiro kuitazama hiyo miji Sulemani aliyompa; wala hakupendezwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Hiramu alipowasili kutoka Tiro na kuiona miji hiyo aliyokuwa amepewa na Solomoni hakupendezwa nayo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hiramu alipotoka Tiro kuitazama hiyo miji, Salomo aliyompa, haikumpendeza,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Hiramu akatoka Tiro kuitazama hiyo miji Sulemani aliyompa; wala haikumpendcza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Hiramu alipofika kutoka Tiro na kuiona miji hiyo aliyokuwa amepewa na Solomono hakupendezwa nayo.