1 Kings 9:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hiramu alikuwa amempelekea mfalme Solomoni dhahabu kilo 3,600.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Hiramu alikuwa amempelekea mfalme talanta mia moja na ishirini za dhahabu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hiramu akamletea mfalme talanta sitini za dhahabu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hiramu alikuwa amempelekea mfalme Solomoni dhahabu kilo 3,600.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi Hiramu alikuwa amempelekea mfalme talanta 120 za dhahabu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi Hiramu alikuwa amempelekea mfalme talanta 120 za dhahabu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hiramu alikuwa amemletea mfalme talanta mia moja na ishirini za dhahabu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hiramu alikuwa amempelekea mfalme Solomoni dhahabu kilo 3,600.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Hiramu alikuwa amempelekea mfalme vipande 120 vya dhahabu, ndio frasila 360.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hiramu akamletea mfalme talanta sitini za dhahabu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hiramu alikuwa amemupelekea mufalme Solomono zahabu kilo elfu tatu na mia sita.