1 Kings 9:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Solomoni aliujenga upya mji wa Gezeri); hali kadhalika alijenga Beth-horoni ya chini;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sulemani akaujenga tena Gezeri.) Akajenga Beth-Horoni ya Chini,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Sulemani akaujenga Gezeri, na Beth-horoni wa chini,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Solomoni aliujenga upya mji wa Gezeri); hali kadhalika alijenga Beth-horoni ya chini;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Solomoni akaujenga tena upya Gezeri.) Akajenga Beth-Horoni ya Chini,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sulemani akaujenga tena Gezeri.) Akajenga Beth-Horoni ya Chini,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Sulemani akaujenga Gezeri, na Beth-horoni wa chini,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Solomoni aliujenga upya mji wa Gezeri); hali kadhalika alijenga Beth-horoni ya chini;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Salomo akajenga Gezeri tena, hata Beti-Horoni wa chini,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Sulemani akaujenga Gezeri, na Beth-horoni wa chini,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Solomono aliujenga upya muji wa Gezeri. Vilevile alijenga Beti-Horoni wa chini;