1 Kings 9:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kadhalika miji ifuatayo: Baalathi, na Tamari, mji ulio nyikani katika nchi ya Yuda
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
akajenga Baalathi na Tamari kwenye jangwa katika eneo la nchi yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na Baalathi, na Tamari ulio nyikani, katika nchi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kadhalika miji ifuatayo: Baalathi, na Tamari, mji ulio nyikani katika nchi ya Yuda
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
akajenga pia Baalathi na Tamari kwenye jangwa katika eneo la nchi yake,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
akajenga Baalathi na Tamari kwenye jangwa katika eneo la nchi yake,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na Baalathi, na Tamari ulio nyikani, katika nchi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kadhalika miji ifuatayo: Baalathi, na Tamari, mji ulio nyikani katika nchi ya Yuda
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
na Balati na Tamari ulioko nyikani katika nchi ile;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na Baalathi, na Tamari ulio nyikani, katika nchi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
tena miji hii: Balati, na Tamari, muji unaokuwa katika mbuga katika inchi ya Yuda,