1 Kings 9:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu alimtokea tena kama alivyomtokea kule Gibeoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu akamtokea mara ya pili, vile alivyomtokea huko Gibeoni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
basi, Bwana akamtokea Sulemani mara ya pili kama alivyomtokea huko Gibeoni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu alimtokea tena kama alivyomtokea kule Gibeoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA akamtokea mara ya pili, kama alivyokuwa amemtokea huko Gibeoni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana akamtokea mara ya pili, kama alivyokuwa amemtokea huko Gibeoni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
basi, BWANA akamtokea Sulemani mara ya pili kama alivyomtokea huko Gibeoni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu alimtokea tena kama alivyomtokea kule Gibeoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ndipo, Bwana alipomtokea Salomo mara ya pili, kama alivyomtokea kule Gibeoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
basi, BWANA akamtokea Sulemani mara ya pili kama alivyomtokea huko Gibeoni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe alimutokea tena kama alivyomutokea kule Gibeoni.