1 Kings 9:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wengine wote waliobaki miongoni mwa Waamori, Wahiti, Waperizi, Wahivi na Wayebusi, yaani wote hao ambao hawakuwa wa taifa la Israeli,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu wote waliosalia miongoni mwa Waamori, Wahiti, Waperizi, Wahivi, na Wayebusi (watu wasiokuwa Waisraeli),
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa habari ya watu wote waliosalia, Waamori, Wahiti, Waperizi, Wahivi, na Wayebusi, wasiokuwa wa wana wa Israeli;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wengine wote waliobaki miongoni mwa Waamori, Wahiti, Waperizi, Wahivi na Wayebusi, yaani wote hao ambao hawakuwa wa taifa la Israeli,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu wote waliobaki kutoka kwa Waamori, Wahiti, Waperizi, Wahivi na Wayebusi (mataifa haya hayakuwa Waisraeli),
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu wote waliosalia kutoka kwa Waamori, Wahiti, Waperizi, Wahivi na Wayebusi (mataifa haya hayakuwa Waisraeli),
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa habari ya watu wote waliosalia, Waamori, Wahiti, Waperizi, Wahivi, na Wayebusi, wasiokuwa wa wana wa Israeli;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wengine wote waliobaki miongoni mwa Waamori, Wahiti, Waperizi, Wahivi na Wayebusi, yaani wote hao ambao hawakuwa wa taifa la Israeli,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watu, aliowatumia, ndio wote waliosalia wa Waamori na wa Wahiti na wa Waperizi na wa Wahiwi na wa Wayebusi wasiokuwa wa wana wa Isiraeli;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa habari ya watu wote waliosalia, Waamori, Wahiti, Waperizi, Wahivi, na Wayebusi, wasiokuwa wa wana wa Israeli;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wengine wote waliobaki kati ya Waamori, Wahiti, Waperizi, Wahivi na Wayebusi, maana yake wote hao ambao hawakukuwa wa taifa la Israeli,