1 Kings 9:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
pamoja na wazawa wao ambao Waisraeli hawakuweza kuwaangamiza kabisa, Solomoni aliwafanyiza kazi za kulazimishwa hata leo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
yaani, wazao wao waliobakia katika nchi, ambao Waisraeli hawakuwaangamiza kabisa, Sulemani akawalazimisha kuwa shokoa, kama ilivyo hadi leo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
watoto wao waliosalia baada yao katika nchi, ambao wana wa Israeli hawakuweza kuwaharibu kabisa, katika hao Sulemani akawatumikisha shokoa hata leo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
pamoja na wazawa wao ambao Waisraeli hawakuweza kuwaangamiza kabisa, Solomoni aliwafanyiza kazi za kulazimishwa hata leo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
yaani, uzao wao uliobaki katika nchi, ambao Waisraeli wasingeweza kuwaangamiza, hawa Solomoni akawalazimisha kuwa watumwa katika shokoa, kama ilivyo hadi leo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
yaani, wazao wao waliobakia katika nchi, ambao Waisraeli hawangeweza kuwaangamiza kabisa: hawa Sulemani akawalazimisha kuwa watumwa katika shokoa, kama ilivyo hadi leo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
watoto wao waliosalia baada yao katika nchi, ambao wana wa Israeli hawakuweza kuwaharibu kabisa, katika hao Sulemani akawatumikisha shokoa hata leo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
pamoja na wazawa wao ambao Waisraeli hawakuweza kuwaangamiza kabisa, Solomoni aliwafanyiza kazi za kulazimishwa hata leo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wana wao wale waliosalia na kuachwa na wenzao katika nchi hii, kwa kuwa wana wa Isiraeli hawakuweza kuwamaliza na kuwaua kwa kuwatia mwiko wa kuwapo, basi, hawa Salomo akawatoa, akawafanyisha kazi za nguvu za kitumwa hata siku hii ya leo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
watoto wao waliosalia baada yao katika nchi, ambao wana wa Israeli hawakuweza kuwaharibu kabisa, katika hao Sulemani akawatumikisha shokoa hata leo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
pamoja na wazao wao ambao Waisraeli hawakuweza kuwaangamiza kabisa, Solomono aliwatumikisha kazi za kulazimishwa hata leo.