1 Kings 9:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ifuatayo ndiyo jumla ya maofisa wakuu waliohusika na uangalizi wa kazi ya Solomoni: Watu 550, hao ndio waliosimamia watu waliofanya kazi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pia walikuwa maafisa wakuu wasimamizi wa miradi ya Sulemani: maafisa mia tano na hamsini waliwasimamia watu waliofanya kazi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hao maakida wakuu, waliokuwa juu ya kazi yake Sulemani, walikuwa mia tano na hamsini, waliowaamuru watu watendao kazi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ifuatayo ndiyo jumla ya maofisa wakuu waliohusika na uangalizi wa kazi ya Solomoni: watu 550, hao ndio waliosimamia watu waliofanya kazi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pia walikuwa maafisa wakuu wasimamizi wa miradi ya Solomoni: maafisa 550 waliowasimamia watu waliofanya kazi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pia walikuwa maafisa wakuu wasimamizi wa miradi ya Sulemani: maafisa 550 waliwasimamia watu waliofanya kazi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hao maofisa wakuu, waliokuwa juu ya kazi yake Sulemani, walikuwa mia tano na hamsini, waliowasimamia watu watendao kazi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ifuatayo ndiyo jumla ya maofisa wakuu waliohusika na uangalizi wa kazi ya Solomoni: Watu 550, hao ndio waliosimamia watu waliofanya kazi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wakuu wa mfalme Salomo waliowekwa kusimamia kazi walikuwa 550; ndio waliowatawala watu waliofanya kazi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hao maakida wakuu, waliokuwa juu ya kazi yake Sulemani, walikuwa mia tano na hamsini, waliowaamuru watu watendao kazi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hii ndiyo jumla ya wakubwa waliohusika na uangalizi wa kazi ya Solomono: watu mia tano na makumi tano, hao ndio waliosimamia watu waliofanya kazi.