1 Kings 9:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baadaye binti Farao aliuhama mji wa Daudi, akaenda kukaa katika nyumba yake mwenyewe ambayo Solomoni alimjengea; kisha Solomoni akajenga ngome ya Milo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya binti Farao kuja kutoka Mji wa Daudi na kuingia jumba la kifalme ambalo Sulemani alikuwa amemjengea, Sulemani akajenga Milo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini binti Farao akapanda toka mji wa Daudi, mpaka hiyo nyumba yake Sulemani, aliyomjengea; kisha, aliijenga Milo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baadaye binti Farao aliuhama mji wa Daudi, akaenda kukaa katika nyumba yake mwenyewe ambayo Solomoni alimjengea; kisha Solomoni akajenga ngome ya Milo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya binti Farao kuja kutoka Mji wa Daudi na kuingia katika jumba la kifalme Solomoni alilokuwa amemjengea, akajenga Milo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya binti Farao kuja kutoka Mji wa Daudi na kuingia jumba la kifalme ambalo Sulemani alikuwa amemjengea, akajenga Milo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini binti Farao akapanda toka mji wa Daudi, mpaka hiyo nyumba yake Sulemani, aliyomjengea; kisha, aliijenga Milo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baadaye binti Farao aliuhama mji wa Daudi, akaenda kukaa katika nyumba yake mwenyewe ambayo Solomoni alimjengea; kisha Solomoni akajenga ngome ya Milo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Binti Farao alipokwisha kutoka katika mji wa Dawidi na kuingia katika nyumba yake, aliyomjengea, ndipo, alipolijenga lile boma lililoitwa Milo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini binti Farao akapanda toka mji wa Daudi, mpaka hiyo nyumba yake Sulemani, aliyomjengea; kisha, aliijenga Milo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha binti ya mufalme wa Misri alihama katika muji wa Daudi, akaenda kukaa katika nyumba yake mwenyewe ambayo Solomono alimujengea. Kisha Solomono akajenga uwanja wa Milo.