1 Kings 9:27 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye mfalme Hiramu akawatuma maofisa wake na mabaharia pamoja na watumishi wa Solomoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naye Hiramu akawatuma watu wake; mabaharia walioijua bahari, kuhudumu katika hizo meli pamoja na watu wa Sulemani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Hiramu akatuma merikebuni watumishi wake, wanamaji wenye kuijua bahari, pamoja na watumishi wake Sulemani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye mfalme Hiramu akawatuma maofisa wake na mabaharia pamoja na watumishi wa Solomoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naye Hiramu akatuma watu wake, mabaharia walioijua bahari, kuhudumu katika hizo meli pamoja na watu wa Solomoni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naye Hiramu akawatuma watu wake; mabaharia walioijua bahari, kuhudumu katika hizo meli pamoja na watu wa Sulemani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Hiramu akatuma merikebuni watumishi wake, wanamaji wenye kuijua bahari, pamoja na watumishi wake Sulemani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye mfalme Hiramu akawatuma maofisa wake na mabaharia pamoja na watumishi wa Solomoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hiramu akatuma watumishi wake wa kutumia merikebuni walio mafundi wa kazi za merikebuni, walioijua nayo bahari, wafanye kazi pamoja na watumishi wa Salomo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Hiramu akatuma merikebuni watumishi wake, wanamaji wenye kuijua bahari, pamoja na watumishi wake Sulemani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye mufalme Hiramu akawatuma wafundi wake wenye kujua bahari pamoja na watumishi wa Solomono.