1 Kings 9:28 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walisafiri kwenda nchi ya Ofiri, na kuchukua toka huko dhahabu, wakamletea mfalme Solomoni kadiri ya kilo 14,000.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakasafiri kwa bahari hadi Ofiri na kurudi na talanta mia nne na ishirini (420) za dhahabu, ambazo walimkabidhi Mfalme Sulemani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakafika Ofiri, wakachukua toka huko dhahabu, talanta mia nne na ishirini, wakamletea mfalme Sulemani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walisafiri kwenda nchi ya Ofiri, na kuchukua toka huko dhahabu, wakamletea mfalme Solomoni kadiri ya kilo 14,000.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakasafiri kwenda Ofiri na kurudi na talanta 420 za dhahabu, ambazo walimletea Mfalme Solomoni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakasafiri kwa bahari mpaka Ofiri na kurudi na talanta 420 za dhahabu, ambazo walimkabidhi Mfalme Sulemani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakafika Ofiri, wakachukua toka huko dhahabu, talanta mia nne na ishirini, wakamletea mfalme Sulemani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walisafiri kwenda nchi ya Ofiri, na kuchukua toka huko dhahabu, wakamletea mfalme Solomoni kadiri ya kilo 14,000.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakaenda Ofiri, wakachukua huko vipande vya dhahabu 420, ndio frasila 1260, wakampelekea mfalme Salomo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakafika Ofiri, wakachukua toka huko dhahabu, talanta mia nne na ishirini, wakamletea mfalme Sulemani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walisafiri kwenda katika inchi ya Ofiri, na kuleta toka kule zahabu, wakamuletea mufalme Solomono yapata kilo elfu kumi na ine.