1 Kings 9:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
basi, mimi nitakiimarisha kiti chako cha kifalme juu ya Israeli milele, kama nilivyomwahidi Daudi baba yako, nikisema, Hutakosa mtu wa kukaa juu ya kiti cha enzi cha Israeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
nitakiimarisha kiti chako cha utawala juu ya Israeli milele kama nilivyomwahidi Daudi baba yako niliposema, ‘Hutakosa kamwe kuwa na mtu kwenye kiti cha utawala cha Israeli.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ndipo nitakapokifanya imara kiti cha ufalme wako juu ya Israeli milele; kama nilivyomwahidia Daudi, baba yako, nikisema, Hutakosa kuwa na mtu wa kukaa katika kiti cha enzi cha Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
basi, mimi nitakiimarisha kiti chako cha kifalme juu ya Israeli milele, kama nilivyomwahidi Daudi baba yako, nikisema, Hutakosa mtu wa kukaa juu ya kiti cha enzi cha Israeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
nitaimarisha kiti chako cha ufalme juu ya Israeli milele kama nilivyomwahidi Daudi baba yako nikisema, ‘Hutakosa kamwe kuwa na mtu kwenye kiti cha ufalme cha Israeli.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
nitakiimarisha kiti chako cha enzi juu ya Israeli milele kama nilivyomwahidi Daudi baba yako niliposema, ‘Hutakosa kamwe kuwa na mtu kwenye kiti cha enzi cha Israeli.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ndipo nitakapokifanya imara kiti cha ufalme wako juu ya Israeli milele; kama nilivyomwahidia Daudi, baba yako, nikisema, Hutakosa kuwa na mtu wa kukaa katika kiti cha enzi cha Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
basi, mimi nitakiimarisha kiti chako cha kifalme juu ya Israeli milele, kama nilivyomwahidi Daudi baba yako, nikisema, Hutakosa mtu wa kukaa juu ya kiti cha enzi cha Israeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ndipo, nitakapokisimamisha kiti cha kifalme cha ufalme wako wa kuwatawala Waisiraeli, kisimame kale na kale, kama nilivyomwambia baba yako Dawidi kwamba: Kwako hakutakoseka mtu atakayekaa katika kiti cha kifalme cha Waisiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ndipo nitakapokifanya imara kiti cha ufalme wako juu ya Israeli milele; kama nilivyomwahidia Daudi, baba yako, nikisema, Hutakosa kuwa na mtu wa kukaa katika kiti cha enzi cha Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
basi, mimi nitakiimarisha kiti chako cha kifalme juu ya Israeli milele, kama nilivyomwahidi baba yako Daudi, nikisema: Hautakosa mutu wa kuikaa juu ya kiti cha kifalme cha Israeli.