1 Peter 1:14 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama watoto wa Mungu wenye utii, msikubali kamwe kufuata tena tamaa mbaya mlizokuwa nazo wakati mlipokuwa wajinga.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama watoto watiifu, msifuate tamaa zenu mbaya wakati mlipoishi kwa ujinga.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama watoto wa kutii msijifananishe na tamaa zenu za kwanza za ujinga wenu;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kama watoto watiifu, msiyaache maisha yenu yandelee kutawaliwa na tamaa mbaya mlizokuwa nazo awali mlipokuwa wajinga.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kama watoto wa Mungu wenye utii, msikubali kamwe kufuata tena tamaa mbaya mlizokuwa nazo wakati mlipokuwa wajinga.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama watoto wa Mungu wenye utii, msikubali kamwe kufuata tena tamaa mbaya mlizokuwa nazo wakati mlipokuwa wajinga.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama watoto watiifu, msifuate tamaa zenu mbaya za kwanza za wakati wa ujinga.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama watoto watiifu, msifuate tamaa zenu mbaya wakati mlipoishi kwa ujinga.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama watoto wa kutii msijifananishe na tamaa zenu za kwanza za ujinga wenu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama watoto wa Mungu wenye utii, msikubali kamwe kufuata tena tamaa mbaya mlizokuwa nazo wakati mlipokuwa wajinga.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa sababu m watoto wanaotii, msijielekeze penye tamaa zenu, mlizozifuata hapo kale, mlipokuwa hamjajua maana!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama watoto wa kutii msijifananishe na tamaa zenu za kwanza za ujinga wenu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama watoto wenye utii, musiachilie maisha yenu kutawaliwa na tamaa mbaya mulizokuwa nazo zamani wakati mulipokuwa mukiishi katika ujinga.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kama watoto wa kutii msijifananishe na tamaa zenu za kwanza, za ujinga wenu;