1 Peter 1:16 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maandiko yasema: “Muwe watakatifu, kwa kuwa mimi alivyo mtakatifu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana imeandikwa: “Kuweni watakatifu, kwa kuwa mimi ni mtakatifu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kwa maana imeandikwa, Mtakuwa watakatifu kwa kuwa mimi ni mtakatifu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hivyo Maandiko yanasema: “Iweni watakatifu, kwa sababu mimi ni mtakatifu.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Maandiko yasema: “Muwe watakatifu, kwa kuwa mimi ni mtakatifu.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maandiko yasema: “Muwe watakatifu, kwa kuwa mimi alivyo mtakatifu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa maana imeandikwa: “Mtakuwa watakatifu, kwa kuwa Mimi ni mtakatifu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana imeandikwa: “Kuweni watakatifu, kwa kuwa mimi ni mtakatifu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kwa maana imeandikwa, Mtakuwa watakatifu kwa kuwa mimi ni mtakatifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maandiko yasema: “Muwe watakatifu, kwa kuwa mimi alivyo mtakatifu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani imeandikwa: Mwe watakatifu! Kwani mimi ni mtakatifu.*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kwa maana imeandikwa, Mtakuwa watakatifu kwa kuwa mimi ni mtakatifu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa maana Maandiko Matakatifu yanasema: “Muwe watakatifu, kwa maana mimi ni mutakatifu.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
maana imeandikwa, Mwe watakatifu kwa kuwa mimi ni mtakatifu.