1 Peter 1:25 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini neno la Bwana hudumu milele.” Neno hilo ni hiyo Habari Njema mliyohubiriwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
lakini neno la Mwenyezi Mungu ladumu milele.” Hili ndilo neno lililohubiriwa kwenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bali Neno la Bwana hudumu hata milele. Na neno hilo ni neno lile jema lililohubiriwa kwenu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
bali ujumbe wa Bwana unadumu milele.” Na ujumbe huo ni habari njema iliyohubiriwa kwenu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini neno la Bwana hudumu milele.” Neno hilo ni hiyo Habari Njema iliyohubiriwa kwenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini neno la Bwana hudumu milele.” Neno hilo ni hiyo Habari Njema mliyohubiriwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
lakini neno la Mungu ladumu milele.” Hili ndilo neno lililohubiriwa kwenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
lakini neno la Mwenyezi Mungu ladumu milele.” Hili ndilo neno lililohubiriwa kwenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bali Neno la Bwana hudumu hata milele. Na neno hilo ni neno lile jema lililohubiriwa kwenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini neno la Bwana hudumu milele.” Neno hilo ni hiyo Habari Njema mliyohubiriwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini neno lake Bwana hukaa kale na kale. Basi, hilo ndilo neno la mbiu njema, mpigiwayo ninyi.*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bali Neno la Bwana hudumu hata milele. Na neno hilo ni neno lile jema lililohubiriwa kwenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Neno la Bwana linadumu hata milele.” Na Neno hili ni Habari Njema iliyohubiriwa kwenu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bali Neno la Bwana hudumu hatta milele. Na neno bilo ni neno lile jema lililokhubiriwa kwenu.