1 Peter 2:10 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati mmoja nyinyi hamkuwa watu wa Mungu, lakini sasa nyinyi ni watu wake; wakati mmoja hamkupewa huruma ya Mungu, lakini sasa mmepokea huruma.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwanzo ninyi mlikuwa si taifa, lakini sasa ninyi ni taifa la Mungu. Mwanzo mlikuwa hamjapata rehema, lakini sasa mmepata rehema.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ninyi mliokuwa kwanza si taifa, bali sasa ni taifa la Mungu; mliokuwa hamkupata rehema, bali sasa mmepata rehema.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kuna wakati hamkuwa watu, lakini sasa mmekuwa watu wa Mungu. Kuna wakati hamkuoneshwa rehema, lakini sasa mmeoneshwa rehema za Mungu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wakati mmoja ninyi hamkuwa watu wa Mungu, lakini sasa ninyi ni watu wake; wakati mmoja hamkupewa huruma ya Mungu, lakini sasa mmeipokea.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati mmoja nyinyi hamkuwa watu wa Mungu, lakini sasa nyinyi ni watu wake; wakati mmoja hamkupewa huruma ya Mungu, lakini sasa mmepokea huruma.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwanzo ninyi mlikuwa si taifa, lakini sasa ninyi ni taifa la Mungu. Mwanzo mlikuwa hamkupata rehema, lakini sasa mmepata rehema.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwanzo ninyi mlikuwa si taifa, lakini sasa ninyi ni taifa la Mwenyezi Mungu. Mwanzo mlikuwa hamjapata rehema, lakini sasa mmepata rehema.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ninyi mliokuwa kwanza si taifa, bali sasa ni taifa la Mungu; mliokuwa hamkupata rehema, bali sasa mmepata rehema.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati mmoja nyinyi hamkuwa watu wa Mungu, lakini sasa nyinyi ni watu wake; wakati mmoja hamkupewa huruma ya Mungu, lakini sasa mmepokea huruma.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kale hamkuwa ukoo mmoja, lakini sasa mmekuwa ukoo wake Mungu. Tena kale mlikuwa hamjui kuhurumiwa, lakini sasa mmekwisha kuhurumiwa.*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ninyi mliokuwa kwanza si taifa, bali sasa ni taifa la Mungu; mliokuwa hamkupata rehema, bali sasa mmepata rehema.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zamani ninyi hamukukuwa watu wa Mungu, lakini sasa munakuwa watu wake; zamani ninyi hamukuhurumiwa na Mungu, lakini sasa mumehurumiwa naye.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
ninyi mliokuwa kwanza si taifa, bali sasa taifa la Mungu; mliokuwa hamkupata rehema, bali sasa mmepata rehema.