1 Peter 2:14 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
utii kwa wakuu wa mikoa ambao wameteuliwa naye kuwaadhibu wahalifu na kuwasifu watendao mema.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
au wawe maafisa aliowaweka. Kwa kuwa mfalme amewatuma ili kuwaadhibu wale wanaokosa, na kuwapongeza wale wanaotenda mema.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ikiwa ni wakubwa, kama wanaotumwa naye ili kuwalipiza kisasi watenda mabaya na kuwasifu watenda mema.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na muwatii viongozi waliotumwa na mfalme. Wametumwa ili kuwaadhibu wale wanaokosa, na kuwapongeza wale wanaofanya mazuri.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
utii kwa wakuu wa mikoa ambao wameteuliwa naye kuwaadhibu wahalifu na kuwasifu watendao mema.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
utii kwa wakuu wa mikoa ambao wameteuliwa naye kuwaadhibu wahalifu na kuwasifu watendao mema.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
pamoja na maafisa aliowaweka. Kwa kuwa mfalme amewatuma ili kuwaadhibu wale wanaokosa na kuwasifu wale watendao mema.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
au kwa maafisa aliowaweka, kwa kuwa mfalme amewatuma ili kuwaadhibu wale wanaokosa, na kuwapongeza wale watendao mema.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
au iwe ni watawala, kama wanaotumwa naye ili kuwalipiza kisasi watenda mabaya na kuwasifu watenda mema.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
utii kwa wakuu wa mikoa ambao wameteuliwa naye kuwaadhibu wahalifu na kuwasifu watendao mema.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakiwa viongozi, maana hutumwa naye kulipiza watenda maovu na kuwapa sifa watenda mema!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ikiwa ni wakubwa, kama wanaotumwa naye ili kuwalipiza kisasi watenda mabaya na kuwasifu watenda mema.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
au ikiwa maliwali waliosimikwa naye kwa kuwaazibu watenda mabaya na kuwapa zawadi wale wanaotenda mema.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
ikiwa wakubwa, kama wanaotumwa nae kuwalipiza kisasi watenda mabaya na kuwasifu watenda mema;